Je, umewahijiulizia "Na kama"kitu ikibadiishwa.....Na kama dunia ingekuwa na jua mbili? Na kama tungekuwa na penseli iliyowaka na sauti? Na kama wanyama waliyotoweka wawe na uhai? Na kama,Na kama, Na kama... Kwa hii 'Scratch Design Studio' tunawakukaribisha kuunda mradi na kutazama mawazo ukitumia sentensi "Na kama?" Unaeza fikiria vile dunia ingebadilisha ikiwa kitu kubwa ilibadilishwa,kama vile wanyama wangekuwa na uwezo wa kuzungumza. Au, unaeza fikiria vile maisha yako ingebadilisha ikiwa kitu ndogo ingebadilishwa, kama vile ungekuwa ungelala dakika kumi zingine.Unaeza angalia vitu vizuri na vibaya zenye zinaeza fanyika! Chochote utakachoamua, tuna kuhimiza kukuwa na furaha ukifikiria vile vitu vitakuwa kama ungejibu swali "na kama...". Unataka mawazo wa kuanzia? -Ingekuwa aje kama kitu kama kichezeo,kifaa cha kiteknologia,au kitabu,ingekuwa na uhai?Unda uhuisaji kuliko! -Na kama wakati ilisimama na wakati uliacha kusonga?Tengeneza mchezo yenye saa huenda nyuma,au mbele kuhusu mwendo wa mchezaji. -Na kama hatungeona rangi yeyote?Tengeneza mradi ya sanaa yenye inaonyesha vile dunia ingekuwa iki kosa rangi -Na kama mvutano ya dunia ilikataa kufanya kazi kwa dakika 10 kila siku? Unda uhuisaji ya kitendo chenye kitafanyika hiyo dakika 10. -Na kama ungekuwa na uwezo kuongea na wewe wa ujao?Andika hadithi au shairi kuhusu hii. -Na kama ungepewa matamanio tatu?Unda mradi kuambia wengine matamanio wako na kwa niniutai chagua! Kumbuka, hizi ni mawazo tu. Unakaribishwa kukujia na wazo wako wenyewe au kuchukua hamasa na mradi waliko bado kwa studio. _____ Kuongeza mradi yako kwa hii studio, tafadhali chapisha Komenti yenye kiungo. Unaeza pata kiungo chako ukibonyeza kitufe ya 'Copy Link'/'Nakala kiungo' kwenye ukurasa wa mradi yako. Kitufe iko chini ya sehemu ya 'Vidokezo na Shukrani' Tafadhali silisha mradi moja iliyoshirikwa baada ya mwezi moja kabla mwanzo wa hii studio (Hii studio ilianzwa Septemba 1,2026 kwa hivyo miradi zilizo tengenezwa baada ya Agosti 1,2026 zinaeza ongezewa). Kama huna miradi yoyote ambao zilishirikiwa baada ya hiyo tarehe zenye haziandana na hiyo maada, ni sawa kutengeneza mradi mpya na kuisilisha! Kila mradi hufaa kubadili na miongozo ya jamii na kuwa sawa ya watu wa umri wote. Inaeza chukua muda mrefu ili mradi wako iongezwe. Tafadhali kuwa na subira, tunaziongeza kutoka ya zamani zaidi hadi ya hivi karibuni zaidi, kwa hivyo tunaziona zote. Hakuna haja ya kuzishiriki mara mbili! ______ SDS(Scratch Design Studio) ni studio yenye maada na mahali wachezaji/scratchers wanaeza kusilisha miradi zinazohusu maada ya studio na ikiwa inabadili na miongozi na sheria huko juu. Je ukona mawazo wa Design Studio ujao?Tazama studio ya kiungo cha chini,soma maelekezo ya studio,na asilisha mawazo yako kwa mradi hapa: Ukona swali yeyote kuhusu Scratch Design Studio?Tazama Wiki ya Scratch kuliko: https://en.scratch-wiki.info/wiki/SDS _______ Je unadai kusaidia SDS?Tazama hii mwongozo iliyotengenezwa na wenye SDS: _________ SDS Studios zimetengenezwa na watu wa Mpango wa ushauri na mwongozo iliyoongoozwa na Maabara wa Uongozi wa VIjana. Muundo wa hii studio iliongozwa na Maelezo: Picha cha mbele:
Swahili Translation (What if?)